Rais Samia Suluhu akionyesha moja ya Pasipoti mpya ya kielektroniki wakati wa uzinduzi huo uliofanyika mwaka 2018.
22 januari, 2021
Waziri mkuu MHE. Kassim Majaliwa akitoa maelekezo kwa CGI Makakala, wakati alipokuwa akikagua ujenzi wa Chuo cha Uhamiaji Boma Kichakamiba.
9 Septemba, 2020
Wasafiri wakipata huduma katika kaunta za uhamiaji, kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume -Zanzibar.
09 Disemba, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akimvisha Nishani ya Miaka 60 ya Uhuru CGI Dkt. Anna Makakala ikulu Dsm 09 Disemba 2021
09 Disemba,2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassa akikagua Gadi ya Uhamiaji wakati wa Sherehe za Miaka 60 ya Uhuru 09 Disemba 2021 Dsm
12 Januari, 2022
Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt Hussein Mwinyi akikagua gadi ya Uhamiaji wakati wa Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar 2022
31 Marchi, 2022
Kamishna Mpya wa Uhamiaji Zanzibar akila kiapo mbele ya CGI Dkt. Anna Makakala
23 Agosti, 2022
Jiandae kuhesabiwa siku ya Jumanne Tarehe 23 Agosti, 2022
To become an efficient and effective Institution, which provides high quality Immigration services that meet both national and international standards.
Mission
To facilitate and control movements of persons through implementation of relevant Laws and Regulations in order to safeguard national security and economic interests.
Motto
Migration Security and development.
News and Events
2022-02-12
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anawatangazia vijana wafuatao ambao wamechaguliwa kujiunga na Idara ya Uhamiaji kwa cheo cha Konstebo kuripoti Chuo cha Uhamiaji kilichopo Boma Kichakamiba, Wilaya ya Mkinga mkoani Tanga...