Rais Samia Suluhu akionyesha moja ya Pasipoti mpya ya kielektroniki wakati wa uzinduzi huo uliofanyika mwaka 2018.
22 januari, 2021
Waziri mkuu MHE. Kassim Majaliwa akitoa maelekezo kwa CGI Makakala, wakati alipokuwa akikagua ujenzi wa Chuo cha Uhamiaji Boma Kichakamiba.
9 Septemba, 2020
Wasafiri wakipata huduma katika kaunta za uhamiaji, kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume -Zanzibar.
17 Disemba, 2019
Wahitimu wa mafunzo ya awali ya Uhamiaji wakipita kwa mwendo wa haraka wakati wa gwaride la kuhitimu mafunzo yao yaliyofanyika katika chuo cha Kijeshi Kimbiji.
1 Oktoba, 2017
Jengo la kituo cha huduma ya pamoja baina ya Kenya na Tanzania katika mpaka wa Namanga (Namanga One Stop Border Post) mara baada ya kufunguliwa kwa kituo hicho mwezi oktoba, 2017.
06 JULAI, 2020
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, DKT. Anna Peter Makakala akionyesha jiwe la mpaka kati ya Tanzania na Kenya katika eneo la Jasini mkoani Tanga wakati alipofanya ziara ya ukaguzi wa mipaka hivi karibuni.
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anawatangazia vijana wafuatao ambao wamechaguliwa kujiunga na Idara ya Uhamiaji kwa cheo cha Konstebo kuripoti Chuo cha Uhamiaji kilichopo Boma Kichakamiba, Wilaya ya Mkinga mkoani Tanga tarehe 19 Februari 2022 kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 8:00 mchana.
To become an efficient and effective Institution, which provides high quality Immigration services that meet both national and international standards.
Mission
To facilitate and control movements of persons through implementation of relevant Laws and Regulations in order to safeguard national security and economic interests.
Motto
Migration Security and development.
News and Events
2022-02-12
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anawatangazia vijana wafuatao ambao wamechaguliwa kujiunga na Idara ya Uhamiaji kwa cheo cha Konstebo kuripoti Chuo cha Uhamiaji kilichopo Boma Kichakamiba, Wilaya ya Mkinga mkoani Tanga...