Inatafuata...


Emergency Travel Documents Informations


#1.Mwanzo       #2.Maombi Mapya       #3.Muombaji Anayeendelea       #4.Ufuatiliaji Ombi


Mfumo wa Kielecronic wa ETD application service, e-ETD, unasaidia wateja wote watumiao vibali hivi vya dharura kuomba kupiti amtandao tuliouanzisha. Hii huduma imewekwa kwa kusudio la kupunguza usumbufu kwa muombaji na kuongeza ufanisi katika utoaji wa vibali hivi kupitia mtandao.

Kwa sababu hiyo mwombaji wa ETD atakuwa huru kuomba kibali hicho popote atakapokuwa, na haihitaji kufika na kupanga foleni kusubiri huduma. Pia malipo yake ni rahisi na uhakika kupitia mtandao. Na pia ni nzuri kwa kutunza kumbukumbu zako.
 

Emergency Travel Documents Informations System © 2017 All Rights Reserved  ||  STAFF LOGIN